Operesheni ya Ahadi ya Kweli II
IQNA-Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Iran ameelezea operesheni ya Jumanne usiku ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu dhidi ya utawala wa Israel kama kulipiza kisasi kwa jinai nyingi za utawala huo.
Habari ID: 3479526 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/02
Siasa
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, chimbuko la matatizo ya eneo la Asia Magharibi ni mataifa kama Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya zinazodai kwa uwongo kwamba, zinataka amani na utulivu.
Habari ID: 3479525 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/02
Operesheni ya Ahadi ya Kweli II
IQNA-Waziri wa Iran wa Mashauri ya Kigeni amesema pambizoni mwa kikao cha leo cha Baraza la Mawaziri kuhusiana na Operesheni Ahadi ya Kweli II kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetumia tu haki yake ya kujihami kihalali kujibu harakati za kigaidi za utawala wa Kizayuni wa Israel ndani ya Iran.
Habari ID: 3479524 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/02
Operesheni ya Ahadi ya Kweli II
IQNA-Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Katika tangazo nambari mbili, kufuatia Operesheni ya Ahadi ya Kweli II dhidi ya utawala haramu wa Israel ambalo limetekelezwa Jumanne jioni kwa makombora limesema licha ya ukweli kwamba Israel inalindwa na mifumo ya teknolojia ya juu, asilimia 90 ya makombora ya Iran yamelenga shabaha kwa mafanikio, jambo ambalo limepelekea utawala wa Kizayuni uingiwe na hofu kubwa kutokana na uwezo wa kiutendaji wa Jamhuri ya Kiislamu.
Habari ID: 3479522 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/02
Operesheni ya Ahadi ya Kweli II
IQNA: "Jibu madhubuti limetolewa kwa uchokozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel," Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema.
Habari ID: 3479521 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/01
Operesheni ya Ahadi ya Kweli II
IQNA-Kufuatia operesheni ya makombora ya kulipiza kisasi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran dhidi ya utawala wa Israel kwa ajili ya kujibu jinai za hivi karibuni za utawala huo wa Kizayuni, makundi ya Muqawama yameeleza rasmi uungaji mkono wake kwa Iran.
Habari ID: 3479520 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/01
Muqawama na Qur'ani
IQNA - Jumuiya ya Qur'ani ya Iran imesema subira na ustahimilivu wa watu wa Gaza dhidi ya uhasama wa Israel unatokana na mafundisho ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3479257 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/10
IQNA - Jumuiya ya Qur'ani ya Iran Ijumaa iliandaa hafla ya Khitma ya Shahidi Ismail Haniya, kiongozi wa kisiasa wa Hamas ambaye aliuawa katika hujuma ya kigaidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel jijini Tehran hivi karibuni. Khitma hiyo iimefanyika katika Ukumbi wa Swala (Mosalla) wa Imam Khomeini (RA) mjini Tehran baada ya Swala za Maghribi na Ishaa,
Habari ID: 3479254 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/10
Muqawama
IQNA – Utawala dhalimu wa Israel umetangaza marufuku ya miezi sita kwa Sheikh Ekrema Sabri, Imamu wa Msikiti wa Al-Aqsa ambapo katika muda huo atazuiwa kuingia katika msikiti huo mtakatifu ulio katika mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3479248 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/09
Muqawama
IQNA-Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imemteua Yahya Sinwar kuwa Kiongozi wa Ofisi ya Kisiasa ya harakati hiyo ya muqawama, kujaza nafasi iliyoachwa wazi na hayati Ismail Haniya.
Habari ID: 3479247 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/08
Kadhia ya Palestina
IQNA-Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imeamua kuitisha kikao dha dharura mjini Jeddah, Saudi Arabia wakati huu ambapo Iran na kambi ya muqawama inajiandaa kutoa majibu makali kwa Israel kutokana na vitendo vya kigaidi vya utawala wa Kizayuni.
Habari ID: 3479245 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/08
Shahidi Haniya
IQNA - Jumuiya ya Qur'ani ya Iran imeaandaa khitma ya Qur'ani ya ya mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas aliyeuawa shahidi.
Habari ID: 3479243 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/08
Muqawama
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imemteua Yahya Sinwar kuwa Kiongozi wa Ofisi ya Kisiasa ya harakati hiyo ya muqawama, kujaza nafasi iliyoachwa wazi na marehemu Ismail Haniyah.
Habari ID: 3479240 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/07
Muqawama
IQNA Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayed Hassan Nasrallah amesema utawala wa Kizayuni wa Israel unaiomba Marekani kuulinda kwani mashambulizi ya Iran na Hizbullah ya kulipiza kisasi mauaji ya hivi karibuni ya utawala huo yanakaribia.
Habari ID: 3479239 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/07
Kadhia ya Palestina
IQNA - Vikosi vya usalama vya Saudi Arabia vimeripotiwa kumkamata profesa wa chuo kikuu kimoja cha Iraq katika mji mtakatifu wa Makka kwa kosa la kutoa kumuomboea dua kiongozi wa Palestina Ismail Haniya aliyeuawa shahidi wiki iliyopita katika hujuma ya kigaidi ya Israel
Habari ID: 3479234 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/06
Muqawama
IQNA-Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, majibu makali na ya kiakili ya Jamhuri ya Kiislamu kwa utawala unaofanya mauaji ya kimbari wa Israel kuhusiana na mauaji ya shahidi Ismail Haniya yataleta furaha kwa watu wa Iran na vikosi vya muqawama na wapiganiia uhuru wa dunia.
Habari ID: 3479229 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/04
Muqawama
IQNA- Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) limetoa taarifa nambari tatu inayoeleza na kubainisha jinsi Ismail Haniya, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, alivyouawa hapa mjini Tehran.
Habari ID: 3479225 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/03
Muqawama
IQNA-Utawala wa Kizayuni wa Israel umemkamata Khatibu wa Msikiti wa Al-Aqsa kwa kutuma salamu za rambirambi kutokana na mauaji yaliyofanywa na utawala huo dhalimu dhidi ya Shahidi Ismail Haniya.
Habari ID: 3479223 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/03
Muqawama
IQNA- Maelfu ya watu wamekusanyika Ijumaa katika msikiti mmoja huko Doha kutoa heshima zao kwa kiongozi wa kisiasa wa Hamas, shahidi Ismail Haniya..
Habari ID: 3479218 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/03
Muqawama
IQNA - Mufti Mkuu wa Oman amelaani mauaji ya utawala wa Israel dhidi ya Ismail Haniya, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya harakati ya Hamas.
Habari ID: 3479217 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/02